Majadiliano:Mzungu

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Kipala

Muddy ameniomba nisahihishe makala. Basi nimeibadilisha kabisa; si rahisi kwa sababu ni neno ambalo kila mutu analitumia lakini halieleweki vizuri sana kwa undani sijui kama kuna mtaalamu wa lugha aliyeifanyia utafiti matumizi yake. --Kipala (majadiliano) 20:29, 25 Machi 2008 (UTC)Reply

Return to "Mzungu" page.