Majadiliano:NASA
Latest comment: miaka 2 iliyopita by Son of african in topic Mpango wa NASA Wakupanua angaa
Ndesanjo, hujambo. Sidhani ni vema kubadilisha "mradi wa Mercury" kuwa "mradi wa Zebaki". "Mercury" hapa ni jina halisi la kiingereza. Ibaki ilivyo. Pia tusingebadilisha "Gemini" kuwa "mapacha", Wostok kuwa "mashariki" na kadhalika --Kipala 17:35, 3 Aprili 2006 (UTC)
Mpango wa NASA Wakupanua angaa
haririMpango wa shirika la anga NASA kutanua anga za mbali Son of african (majadiliano) 10:04, 16 Septemba 2022 (UTC)