Majadiliano:Ng'ombe
Latest comment: miaka 9 iliyopita by ChriKo in topic Michango yako
Michango yako
haririBwana Skeleton salaam. Sikufahamu michango yako. Ulikuwa ukicheza kidogo? Kwa nini umeongeza "Ng'ombe ne mzuri" (sic!)? Ng'ombe ni mzuri kwa kufanyia nini au kwa sababu anafanya nini? ChriKo (majadiliano) 22:04, 16 Julai 2015 (UTC)
ngo'mbe
hariring'ombe ni mnyama mkubwa ambaye chakula chake kikuu ni nyasi.ng'ombe hufugwa sana na binadamu kwa ajili ya kumletea maziwa,nyama,ngozi,mbolea n.k.pia ng'ombe hutumika ka ajili ya kilimo,kuvuta mkokoteni.