Majadiliano:Wilaya za Eire
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Orodha ya kitongoji za Eire)
Latest comment: miaka 15 iliyopita by Mr Accountable
Nashauri kuhamisha orodha kwenda "wilaya za Eire". In English it is "counties of Ireland" - hizi counties zinaweza kutafsiriwa ama kama mkoa au wilaya naona zaidi ni wilaya kulingana na kawaida ya Afrika ya Mashariki. "Kitongoji" ni sehemu ndogo sana kama sehemu ya kijiji.
"Kitongoji "is rather a hamlet or part of a village; county could be translated as mkoa or wilaya and compared to East African usage it is more like wilaya. Thus the page should be renamed "Wilaya za Eire" and the heading read "Wilaya", last colum "Makao makuu". you could combine it with http://en.wikipedia.org/wiki/File:IrelandNumbered.png --Kipala (majadiliano) 14:53, 6 Agosti 2009 (UTC)
- That map is pretty good, but I prefer to use the directly labeled map instead. I don't think there's one there at commons, though. I will get back to this list and put a nice map on it. --Mr Accountable (majadiliano) 17:46, 7 Agosti 2009 (UTC)