Majadiliano:Pembe ya Afrika

(Elekezwa kutoka Majadiliano:Pembe la Afrika)
Latest comment: miaka 3 iliyopita by Riccardo Riccioni in topic Jina

Jina hariri

Kipala salaam. Una uhakika kuwa jina Pembe la Afrika ni sahihi? Matokeo mengi ya utafutaji kwenye Google hutumia Pembe ya Afrika. Hata TUKI inasema kwamba pembe ni ngeli ya n-. Wako mwaminifu. ChriKo (majadiliano) 20:23, 5 Oktoba 2020 (UTC)Reply

Kweli kabisa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:17, 6 Oktoba 2020 (UTC)Reply
Return to "Pembe ya Afrika" page.