Majadiliano:Pembe ya Afrika
Latest comment: miaka 4 iliyopita by Riccardo Riccioni in topic Jina
Jina
haririKipala salaam. Una uhakika kuwa jina Pembe la Afrika ni sahihi? Matokeo mengi ya utafutaji kwenye Google hutumia Pembe ya Afrika. Hata TUKI inasema kwamba pembe ni ngeli ya n-. Wako mwaminifu. ChriKo (majadiliano) 20:23, 5 Oktoba 2020 (UTC)
- Kweli kabisa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:17, 6 Oktoba 2020 (UTC)