Majadiliano:Pleteleti za damu

Latest comment: miaka 4 iliyopita by Riccardo Riccioni

Je, ni lazima kusema "za damu"? Kuna pleteleti nyingine katika Kiswahili? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:37, 14 Mei 2019 (UTC)Reply

hapana, lkn pleteliti si neno la kawaida kabisa sijui kama mtu ataielewa. Hata kamusi ya Tiba ina "Blood platelets n pleteleti za damu". Naona kwa pamoja itasaidia zaidi kudokeza neno linahusu nini. Kipala (majadiliano) 20:03, 14 Mei 2019 (UTC)Reply
Kama ni hivyo, afadhali kutafsiri, kwa mfano: "vijisahani vya damu". --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:00, 15 Mei 2019 (UTC)Reply
Return to "Pleteleti za damu" page.