Majadiliano:Purity Kagwiria

Kuongeza vyanzo hariri

Makala hii inavyanzo vingi ila hakuna vyanzo vinavyo ipa uhai makala hii, en.wiki hatuweyi sema ni chanzo, binafsi nafikiri makala hii iangaliziwe vyanzo vingine. na shida hii nimeiona kwa mwandishi yule yule vyanzo nya makala zake haviko sawa. Olimasy (majadiliano)

Return to "Purity Kagwiria" page.