Majadiliano:River Rouge, Michigan
Latest comment: miaka 14 iliyopita by Kipala in topic Jina??
Jina??
haririJina la mji ni River Rouge, si kwingine. Kama tungekuwa na jina la kimapokeo la pekee ingekuwa sawa (mfano: Ureno, Uingereza) lakini kwa mji huu hatuna. Kwa hiyi hapa wikipedia unapaswa kwa kuitwa kwa jina lake lenyewe yaani River Rouge. (maana ukutaka kutafsiri kila kitu unapaswa kutafsiri hata "rouge" inayomaanisha "nyekundu"). Kwa mto mwenyewe ni sawa kusema "mto Rouge". Makala isogezwe. Kabla ya kuisogeza lugha iangalie maana ni baya si kiswahili bado. --Kipala (majadiliano) 10:55, 16 Januari 2010 (UTC)