Majadiliano:Sarafina

Kaka,katika filamu: ukiona maandishi Director's cut (wao wanamaanisha makato ya mwongozaji au alichokata mwongozaji). Katika filamu hakuna kitu kama MKURUGENZI (Google translte kaongopa hapo), bali mwongozaji! Pia makala baadi ya tafsiri zake zina utata (sehemu kubwa ya tafsiri). Hivyo masawazisho yanatakiwa!--MwanaharakatiLonga

Return to "Sarafina" page.