Majadiliano:Shaibu

Latest comment: miaka 3 iliyopita by Kipala

Nina wasiwasi kuhusu lemma hii. Sijakuta istilahi hii, kamusi zota zina tu "Shabihi" kwa maana tofauti kabisa. Madan: "be like, be analogous to. (Also as n. for shabaha.) Rp. shabihiana. (Ar. for common fanana, lingana.)". Umbo la neno linadokeza asili ya Kiarabu lakini Kiarabu hakina maana tofauti kuliko ile ya Madan.Kipala (majadiliano) 14:42, 6 Septemba 2020 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Shaibu ".