Majadiliano:Shaliaki (kundinyota)

Latest comment: miaka 2 iliyopita by Kipala in topic Asili ya Kiarabu au Kiajemi?

Asili ya Kiarabu au Kiajemi? hariri

Nimerudisha badiliko lililodai asili ya jina ni Kiajemi; maana imebadilishwa ndani ya marejeo kwa chanzo cha Knappert ambayo si sahihi. Kama kuna chanzo kingine cha kitaalamu, kionyeshwe hapa. Afadhali swali lijadiliwe kwanza.Kipala (majadiliano) 08:05, 1 Desemba 2021 (UTC)Reply

Return to "Shaliaki (kundinyota)" page.