Majadiliano:Steve Jobs

Latest comment: miaka 13 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Je, ni vyema kuwacha viungo vyekundu visivyo kuwa na makala katika Wikipedia hii ya Kiswahili? Ningeonelea vyema kwamba tuwache viungo hivi vyekundu ili mhariri mwingine akisoma na angependa kuchangia ama kutafsiri maneno yenye alama nyekundu awe katika nafasi zuri zaidi ya kupata nakala ya kiingereza yenye maelezo zaidi kuhusu kichwa hicho..--Stephenwanjau (majadiliano) 13:11, 3 Novemba 2011 (UTC)Reply

Wanjau, inategemea, ndugu! Si kila kiungo cha Kiingereza - lazima kiwepo kwenye Kiswahili. Ni vyema kuacha vile viungo vya msingi tu, basi. Au?--MwanaharakatiLonga 16:10, 3 Novemba 2011 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Steve Jobs ".