Majadiliano:Strongiloidiasisi
Latest comment: miaka 14 iliyopita by Kipala in topic Lugha
Lugha
haririHii makala bado ina dalili nyingi za utafsiri usiokamilika. Mabaki ya maneno ya Kiingereza, muundo wa sentensi wa kigeni; ilhali makala ya Kiingereza si lugha nyepesi ingekuwa afadhali kuiandika upya badala ya kutafsiri neno-kwa-neno. Tuone. Kipala (majadiliano) 19:45, 8 Novemba 2010 (UTC)