Majadiliano:Sungura

Latest comment: miaka 7 iliyopita by Riccardo Riccioni in topic Kitungule

Kitungule hariri

Tafadhali toa ushahidi kwa kauli kwamba kitungule ni mtoto wa sungura. Kwa maoni yangu ni aina ya sungura (sungura mwekundu wa Smith). ChriKo (majadiliano) 16:56, 6 Machi 2017 (UTC)Reply

KKK inasema yote mawili: a. aina ya sungura; b. mwanasungura. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:46, 7 Machi 2017 (UTC)Reply
Asante Riccardo. ChriKo (majadiliano) 20:43, 7 Machi 2017 (UTC)Reply
Asante kwako kwa kukuza na kukamilisha mbegu za vijana wangu. Hata KK21 ina ufafanuzi huohuo wa KKK. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 05:58, 8 Machi 2017 (UTC)Reply
Return to "Sungura" page.