Majadiliano:Tanzania Tiger Plan
Latest comment: miaka 3 iliyopita by Kipala in topic Futa
Futa
haririMakala ifutwe. Ni tafsiri ya makala ya enwiki kuhusu mipango iliyotangazwa mwaka 2004 iliyolenga 2020. Makala haikuendelezwa; kuianzisha sasa kwenye mwaka 2021 ingefaa kama ingeonyesha utathmini wa mipango hiyo ambayo haipo. Tena hakuna vyanzo. Jinsi ilivyo ni bure. Kipala (majadiliano) 13:08, 16 Agosti 2021 (UTC)