Majadiliano:Taya

Latest comment: miaka 6 iliyopita by Riccardo Riccioni in topic Shida za taya

Shida za taya

hariri

Sehemu hii haieleweki. Sielewi "taya laini" ni nini. Magonjwa yanayotokea kweli hayatajwi (kama maambukizo ya kifupa, kukaza mno musuli za taya, nk). Kipala (majadiliano) 19:06, 6 Februari 2018 (UTC)Reply

Inaonekana kuna watu wawili wanachangia mada za afya na tiba ili kupendekeza bidhaa zao. Mmoja alitangulia (Jimmwandishi), mwingine alifuata (Hreflafa). Nimewavumilia nikijaribu kurudisha michango yao katika taratibu za Wikipedia, lakini... --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:20, 7 Februari 2018 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Taya ".