Majadiliano:Teresa wa Yesu

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Riccardo Riccioni in topic Jina la makala

Jina la makala hariri

Nisipokosei Teresa hujulikana zaidi kwa jina "Teresa wa Avila" kimataifa (mimi mwenyewe awali sikumtabua kwa jina hili). Isingekuwa afadhali kuhamisha makala kwa jina hili? --Kipala (majadiliano) 07:37, 1 Novemba 2009 (UTC)Reply

Nakubali kwamba wengi wanamfahamu kama Teresa wa Avila, lakini mwenyewe hakujiita hivyo, na Kanisa lake limeamua kutumia jina alilolitumia mwenyewe kama Mkarmeli. Ukiangalia wiki za lugha nyingine, baadhi zinatumia hili, baadhi hili. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:03, 8 Novemba 2009 (UTC)Reply
Kuhusu nukuu niliyoiweka mwanzoni, niliiga wiki ya Kiitalia, ambapo kurasa nyingi, na si za watakatifu tu, zinaweza zikaanza na dondoo. Kama katika wiki ya Kiswahili haipendezi, sawa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:18, 8 Novemba 2009 (UTC)Reply
Return to "Teresa wa Yesu" page.