Majadiliano:Tiketi
Latest comment: miaka 6 iliyopita by Kipala in topic Bei ya tiketi
Bei ya tiketi
haririKifungu hiki hakilingani na hali halisi. Serikali inahusika mara chache tu, si kawaida. Bei inategemea na makadirio ya mwenye biashara au tukio. Kipala (majadiliano) 20:42, 12 Julai 2018 (UTC)