Majadiliano:Ufahamu wa uwezo wa kushika mimba

Latest comment: miezi 6 iliyopita by Analysis IQ

mimba inapatikanaje ili nijue .

Kuna tendo linaloitwa ngono... Kipala (majadiliano) 09:52, 12 Juni 2014 (UTC)Reply
@Kipala kwa kujamiana baina ya mwanaume na mwanamke Analysis IQ (majadiliano) 14:56, 11 Novemba 2023 (UTC)Reply

Lemma ?? hariri

Naona lemma au jina la makala ni ngumu sana. Nikilinganisha makala husika kwa lugha nyingine kuna njia rahisi zaidi ya kusema. Natafakari bado kakini heri tuhamishe.

  • Usimamizi wa kushika mimba kwa kujua siku za utungaji mimba
  • Kujua siku za utungaji mimba
  • Kusimamia mimba kwa kutumia siku za utungaji mimba
  • Kupanga uzazi kwa kutumia siku za utungaji mimba

Wenzangu mnaonaje? Kipala (majadiliano) 09:52, 12 Juni 2014 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Ufahamu wa uwezo wa kushika mimba ".