Majadiliano:Uga sumaku wa Dunia
Latest comment: miaka 4 iliyopita by Riccardo Riccioni in topic Uga wa sumaku
Uga wa sumaku
haririTafadhali tuelewane kuhusu ngeli ya uga. Kamusi ya Kiswahili Sanifu (³) inapanga istilahi hii hivyo: "uga /uga/ nm (nyuga) [u-/zi-] taz. uwanja". Sasa ni uga wa sumaki, si uga ya sumaku nikielewa vema. Tuko pamoja?Kipala (majadiliano) 10:33, 30 Desemba 2019 (UTC)
- Samahani, nilikuwa nimeangaliA vibaya KKK. Nahariri Wikipedia ofisini, kati ya majukumu mengine mengi! Amani kwako na heri kwa mwaka mpya! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:04, 31 Desemba 2019 (UTC)