Majadiliano:Ugali

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Samahani sijaelewa sentensi hii: Tonge la ugali hufinyangwa kwa mkono wa kushoto kisha kuchovya kwenye maziwa au mchuzi wa maharage. Kwa mazingira ya kawaida ususani Afrika ya Mashariki, Ugali huliwa kwa mkono wa kulia na sio wa "kushoto". Ila sijui kwa watu wa huko Ulaya chakula wao wanakichukuliaje, lakini kikawaida Ugali mkono wa kulia ni wa kulia na sio kushoto (mara nyingi huwa hovyo) ila sijui namna gani!--Mwanaharakati (majadiliano) 15:16, 16 Aprili 2008 (UTC)Reply

Twataka ushahidi juu ya Kusema kwamba ugali ni neno la Kirundi. Tangu kuzaliwa kwangu na kufuatilia kwangu masuala ya lugha hii, sijwahi kusikia kwamba Ugali ni neno la Kirundi. Tupewe ushahidi. Vinginenvyo, tutaondoa kipengele kile.--Muddyb MwanaharakatiLonga 12:07, 7 Desemba 2009 (UTC)Reply
Return to "Ugali" page.