Majadiliano:Ujifunzaji wa njia nyingi
Latest comment: miezi 2 iliyopita by Alex Leo Tz in topic Kuhusu kutungwa kwa kutumia programu ya kompyuta
Kuhusu kutungwa kwa kutumia programu ya kompyuta
haririNi kanuni zipi zinatumika kujua kama makala imeandikwa kwa kutumia programu za kompyuta? Mfano, makala hii inaweza kuonekana imetungwa na kompyuta licha ya kuandikwa na binadamu. Kiswahili kina misamiati michache sana ya kisayansi kiasi kwamba mingi yapaswa kuundwa upya, maneno kama "multimodal learning" hayakua na maana yake kwenye kiswahili kabla ya hii kurasa Alex Leo Tz (majadiliano) 16:50, 10 Septemba 2024 (UTC)