Ujifunzaji wa njia nyingi

Makala hii kuhusu "Ujifunzaji wa njia nyingi" inatumia neno au maneno ambayo si ya kawaida; matumizi yake ni jaribio kwa jambo linalotajwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

Ujifunzaji wa njia nyingi (kutoka kwenye kingereza Multimodal Learning) kwenye muktadha wa kujifunza kwa mashine ni mbinu ya kujifunza kwa kina inayotumia aina nyingi ya data au modaliti kama maandishi, sauti au picha.

Mifano mikubwa ya lugha mingi ina uwezo wa kuchakata aina moja tu ya data, mara nyingi maandishi au picha. Ujifunzaji wa njia nyingi ni tofauti na kukusanya mifano inayochakata aina tofauti tofauti ya data bali ujifunzaji wa njia nyingi hujifunza kwa kutumia aina nyingi za data kwa pamoja ili kufanya utabiri wenye ufanisi zaidi

Mifano mikubwa ya lugha inayotumia modaliti nyingi kama Gemini na GPT-4 imepata umaarufu mkubwa tangu 2023 kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa uelewa na uzalishaji wa taarifa mbalimbali kuhusu ulimwengu.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ujifunzaji wa njia nyingi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.