Majadiliano:Upendo

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Makala yangu imebadilishwa kabisa. Naona makala hii mpya iitwe jina tofauti kama vile pendo (au mapenzi). --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:02, 20 Desemba 2009 (UTC)Reply

Kumbe makala hiyohiyo ya wiki english imeshatafsiriwa kwa google na kutolewa kwa jina la Mapenzi. Hakuna sababu yoyote ya kuwa na kurasa mbili sawasawa, tena za Kiswahili kibovu... Narudisha ukurasa Upendo kama ulivyokuwa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:45, 21 Desemba 2009 (UTC)Reply
Riccardo: Usisite kurudisha makala ya awali. Hata mimi hili nililiona, lakini nikashindwa kufanya lolote. Maadamu umeona ziko mbili tena kwa Kiswahili hovyo, basi rudisha toleo lako!--Muddyb MwanaharakatiLonga 07:50, 21 Desemba 2009 (UTC)Reply
Return to "Upendo" page.