Majadiliano:Usawa wa Kijinsia
Latest comment: miaka 14 iliyopita by 196.45.46.171
Sioni tofauti kubwa na ukurasa juu ya Usawa wa kijinsia. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:44, 4 Januari 2010 (UTC)
- Kumbe, zote zimeandikwa na mtu mmoja. Nilifikiri kwamba hii na ile mwandikaji tofauti - kumbe mambo tofauti. Hatua gani tena?--MwanaharakatiLonga 12:40, 4 Januari 2010 (UTC)
- Nyinyi wakubwa mfute mojawapo. Au siyo? Riccardo Riccioni --196.45.46.171 12:30, 5 Januari 2010 (UTC)