Majadiliano:Usultani wa Adal
Latest comment: miaka 14 iliyopita by Kipala in topic Viungo vya Kiingereza??
Viungo vya Kiingereza??
haririMakla inaonyesha hadi sasa dalili za tafsiri ya kikomyuta isiyosahihishwa ya kutosha. Viungo vingi bado haviwezi kufanya kazi maana hazikuswahilishwa na hazikulinganishwa na makala zilizopo tayari katika wikipedia hii (mifano: "negusä nägäst" (badala ya Negus Negesti) ikielekea "Emperor of Ethiopia" jina ambalo halitapatikana kamwe hapa...; "Ottomans" badala ya Milki ya Osmani n.k.; halafu sentensi kama "Eneo la mtawala wa Kikristo wa Ethiopia aliyeitwaSolomonic" - bado kazi !--Kipala (majadiliano) 22:08, 9 Januari 2010 (UTC)