Majadiliano:Vatikani

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Kipala

Hakuna nchi dogo zaidi. Shir--Kipala (majadiliano) 10:45, 8 Februari 2009 (UTC)ika ya SMOM si nchi. --Kipala (majadiliano) 20:14, 7 Februari 2009 (UTC)Reply

Mpendwa, SMOM ina uhusiano wa kibalozi na nchi 100 na ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa (Observer). --Riccardo Riccioni (majadiliano) 20:35, 7 Februari 2009 (UTC)Reply

Sawa kabisa; SMOM ni kile kinachoitwa labda "nafsi ya kisheria ya kimataifa" (sovereign subject of international law) kwa hiyo inalingana na Msalaba Mwekundu lakini si nchi wala dola. Nasoma ya kwamba pia Papa mwenyewe bali na nchi ya Vatikani ni "nafsi ya kisheria ya kimataifa". Ila tu hii lugha ya kisheria ni gumu kodogo. --Kipala (majadiliano) 10:45, 8 Februari 2009 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Vatikani ".