Majadiliano:Vipimo asilia vya Kiswahili

Latest comment: miaka 7 iliyopita by Kipala in topic Maneno yanayosahauliwa?

Maneno yanayosahauliwa? hariri

Baada ya kumaliza makala nimeongea leo hii na vijana nikiwauliza kama wameshwahi kusikia maneno kama Wanda, Morta au Shibiri. Hapana. Hawakusikia. Basi nitakapofika Dar nitafanya jaribio, sokoni nitajaribu kununua machungwa, ratili moja hivi. Tuone! Kipala (majadiliano) 20:40, 28 Machi 2017 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Vipimo asilia vya Kiswahili ".