Majadiliano:Wagogo

Hivi ni kweli kwamba wagogo ni miongoni mwa makabila fukara Tanzania pamoja na wingi wa mifugo waliyonayo? Labda isemwe kama hajafahamu namna nzuri ya kuitumia ili iwanufaishe. Labda tungejiuliza ufukara ni nini na uko wa aina ngapi?

Start a discussion about Wagogo

Start a discussion
Rudi kwenye ukurasa wa " Wagogo ".