Majadiliano:Wakinga
Latest comment: miaka 10 iliyopita by Kipala in topic Nyongeza imenakiliwa
Nyongeza imenakiliwa
haririMtumiaji alinakili nyongeza zake zote kutoka http://www.habarileo.co.tz/makala/index.php?id=7614. Hii ni marufuku, naiondoa tena. (kipala) --128.103.221.104 01:34, 23 Julai 2008 (UTC)
Sehemu kubwa ya makala inahusu si Wakinga bali habari mchanganyiko wa Wilaya ya Makete. Sijui tufanyeje? Kipala (majadiliano) 06:19, 17 Septemba 2014 (UTC)