Majadiliano:Waziri Mkuu wa Kenya
Latest comment: miaka 15 iliyopita by Kipala
Naona hii orodha ina kosa la kuwa mkuu wa serikali alikuwa rais mwenyewe; maana mkuu wa serikali na mkuu wa dola alikuwa mtu yeye yule kwanza Kenyatta halafu Moi. --Kipala (majadiliano) 16:28, 11 Desemba 2009 (UTC)