Majadiliano:Wendy Bowman (mwanaharakati)

Latest comment: miezi 11 iliyopita by Kipala

Makala hii ilikuwa tafsiri mbaya ya kompyuta. Imesahihishwa kidogo lakini bado ina hitilafu za lugha. Bado inafuata tafsiri ya google kwa kutumia sentensi zisizolingana na lugha yetu. Isahihishwe kikamilifu au kufutwa! Kipala (majadiliano) 13:07, 27 Mei 2023 (UTC)Reply

Return to "Wendy Bowman (mwanaharakati)" page.