Majadiliano:Wikimedia Community User Group Tanzania
Latest comment: miezi 4 iliyopita by Riccardo Riccioni in topic MAKALA
MAKALA
haririSidhani kama makundi ya watumiaji yanahitaji makala katika Wikipedia. Hizi zingehamishiwa katika kurasa zinazotaja masuala haya ya vikundi. Muddyb Mwanaharakati Longa 10:22, 21 Julai 2024 (UTC)
- Nakuunga mkono. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:05, 21 Julai 2024 (UTC)