Majadiliano:Wikipedia ya Kiebrania

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Jina la makala ni vigumu. Napendekeza ihamishwe kwenda "Wikipedia ya Kiebrania". Yaani makal ya lugha ian sema "Kiebrania" si Kiyahudi. Kuna lugha kadhaa za "kiyahudi" nje ya Kiebrania kama Kiyidish (neno hili lamaanisha "Kiyahudi) iliyokuwa lugha ya mamilioni Wayahudi wa Ulaya ya Mashariki walioangamizwa wakati wa vita kuu ya pili halafu Kiladino (lugha ya Wayahudi wa Hispania/Ureno inayojadiliwa hadi leo Uholanzi na Uturuki) na pia lugha kadha nyingine. --78.51.53.229 17:49, 16 Mei 2009 (UTC)Reply

Salam, mtumiaji usiye na jina (mzaha)! Si kitu. Siku nyingine ukiona kama hivi, ni kheri uhamishe tu! Halafu maelezo yatafuata baadaye. Mimi pia nilifikiria kuwa jina hili sio zuri, lakini nilikuwa nikisubiri maoni kutoka kwako/kwenu! Shukrani kwa maoni yako..--Mwanaharakati (Longa) 06:43, 18 Mei 2009 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Wikipedia ya Kiebrania ".