Majadiliano:Wode Maya
Latest comment: miezi 4 iliyopita by Muddyb in topic Robotiki matini
Robotiki matini
haririUkisoma kwa hatua unajua kabisa ni mchango wa kiroboti. Jamani muone haya basi. Unaweza kutumia roboti lakini haririni. Mjipe muda kupitia matini yasomeke kibinadamu. Unakuta kitu kama hiki kinatia kinyaa Wikipedia yetu. Tuendako aidha bloku au kufuta kutahusika. Huu si uwanja wa kutupia taka. Heshima! MuddybLonga 05:45, 23 Agosti 2024 (UTC)