Majadiliano:Zen

Latest comment: miaka 9 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Kuna jambo sijaelewa wakubwa zangu, kidogo. Ukisoma: https://en.wikipedia.org/wiki/Zen unaona Ujapani wamepokea tu huu utaratibu na kuuita kwa jina lao ambalo ni Kanji. Hata kama Wajapani waliendeleza, lakini pia haifai kutaja mwanzilishi sehemu ya pili! Asili ya uabudu wa aina hii ni China. Basi mwandishia ngeanza na Uchina kisha mwendelezo wa nchi nyingine. Nitafanya hivyo mkiridhia! Wenu, Muddyb, au--MwanaharakatiLonga 04:32, 12 Mei 2014 (UTC) Reply

Return to "Zen" page.