Majadiliano ya Wikipedia:Kutotisha bali kukaribisha wageni kwenye Wikipedia

Latest comment: miaka 9 iliyopita by Baba Tabita

Maelezo mazuri sana, lakini je, hapa ni mahali pake? Pendekezo: Naonelea bora kuhamisha ukurasa na kuupeleka katika: "Wikipedia:Kutotisha bali kukaribisha wageni kwenye wikipedia inaanzishwa".. Ambapo itasoma kama viungo vingine vya Wikipedia ambavyo havipo katika "mainspace". Hapa hii inajihesabu kama makala. Tafakari, chukua hatua!--MwanaharakatiLonga 17:44, 26 Oktoba 2013 (UTC) Reply

Hatimaye, imehamishwa ilivyotakiwa. --Baba Tabita (majadiliano) 05:39, 8 Novemba 2015 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa mradi " Kutotisha bali kukaribisha wageni kwenye Wikipedia ".