Majadiliano ya Wikipedia:Ukubwa

Latest comment: miaka 13 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Bado unaendelea kuchangia bila jina mpaka sasa. Tunafurahia michango yako, lakini mengi ina kasoro za kisarufi na kadhalika. Si tatizo iwapo tutawasiliana kwanza halafu tutaangalia ustaarabu mwingine. Tafadhali ujisajili.--MwanaharakatiLonga 06:23, 13 Desemba 2010 (UTC) Reply

Return to the project page "Ukubwa".