Majadiliano ya jamii:Mikoa ya Tanzania

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Kipala

Ninavyoelewa serikali ya Tanzania wamepanga kuondoa eneo la tarafa (kwa Kiingereza ni Division). Chini ya wilaya (District) kutakuwa na shehia tu (Ward zilizoitwa kata mpaka mwaka juzi). Mkikubali naomba tutoe jina la tarafa na kutumia shehia, hasa katika marejeo ya sensa ya mwaka wa 2002 [1]. Asante --Oliver Stegen 23:27, 10 Oktoba 2006 (UTC)Reply

Ninavyoelewa Shehia ni kitu kilekile kama "Ward" au "Kata" ila tu ni jina lililo kawaida Zanzibar.--Kipala (majadiliano) 14:34, 20 Septemba 2008 (UTC)Reply
Return to "Mikoa ya Tanzania" page.