Majadiliano ya jamii:Ugatuzi nchi kwa nchi

Latest comment: miaka 2 iliyopita by Riccardo Riccioni

Tazama [[Jamii:Vijisehemu nchi kwa nchi]]; jamii hii itakuwa tofauti? Kipala (majadiliano) 06:07, 9 Januari 2022 (UTC)Reply

Ndugu, vijisehemu ni neno lisilofaa kabisa. Ingebidi tulibadilishe. Shida ni kusahihisha kurasa na jamii nyingi mno! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:30, 9 Januari 2022 (UTC)Reply
Sawa, nitajaribu redirect. Sina uhakika kama itasaidia, tuone. Kipala (majadiliano) 06:32, 9 Januari 2022 (UTC)Reply
Haikusaidia, nimeanza kuhamisha na kuweka tahadhari kwenye ukurasa. Sitamaliza leo. Nimeweka nchi za Afrika katika kijamii "Utaguzi nchi za Afrika". Kipala (majadiliano) 07:01, 9 Januari 2022 (UTC)Reply

Je una uhakika ugatuzi kweli ni ugawaji wa nchi kwa maeneo ya kiutawala? Si zaidi kuacha madaraka kwenye ngazi za chini badala kuweka mamlaka yote kwenye ngazi ya kitaifa? (ingawa nimeshahamisha vijamii na makala za Afrika ulivyosema...) Kipala (majadiliano) 08:23, 9 Januari 2022 (UTC)Reply

Umekwenda haraka kweli, sijui ulifanyeje. Ugatuzi ndio devolution, maeneo yanaitwa gatuzi, magatuzi. Tazama KKK na KKK21. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:01, 10 Januari 2022 (UTC)Reply
Return to "Ugatuzi nchi kwa nchi" page.