Majadiliano ya jamii:Viongozi wa Kikristo

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Kipala

Inabidi kupanua orodha ya viongozi wa dini kama viongozi wa ki-Hindu au Ki-protestanti au Kipentekoste, tafadhali hariri.--Mwidimi (majadiliano) 14:42, 14 Julai 2008 (UTC)MNReply

Tuko wikipedia, Bwana Mwidimi. Hapa unakuta makala juu ya viongozi wa dini ya kikristo zilizopo katika wiki hii. Ukipenda kuongeza viongozi wa dini mbalimbali fanya! Halafu ukaunde jamii ya kufaa utawaona. Orodha inaongezxeka kwa kuandika makala. Karibu tu! --Kipala (majadiliano) 14:39, 26 Julai 2008 (UTC)Reply
Return to "Viongozi wa Kikristo" page.