Naitwa Silvanus C. Mumba

Kwanini Wilaya ya Tunduru Bado masikini? hariri

Kuna vitu vingi sana ambavyo Kama wilaya hiyo ingeandaliwa mazingira ya kimaendeleo leo hii ingekuwa mbali sana,, mfano mkubwa na kupitiwa na Mbuga ya Selous, Madini Mto Ruvuma, na mito mingi ya kuvutia mikubwa, Tunduru ina Platform nzuri sana, na Ardhi yake ni ya kilimo, chakushangaza kwanini bado Masikini?


Huu ni ukurasa wa majadiliano kwa mtumiaji asiyejulikana ambaye bado hajafungua akaunti, au ambaye haitumii. 

Kwa hivyo inatubidi kutumia anwani ya IP ya nambari ili kuwatambua. Anwani kama hiyo ya IP inaweza kushirikiwa na watumiaji kadhaa. Ikiwa wewe ni mtumiaji asiyejulikana na unahisi kuwa maoni yasiyo na maana yameelekezwa kwako, tafadhali fungua akaunti au ingia ili kuepuka kuchanganyikiwa kwa watumiaji katika siku za usoni na wengine wasiojulikana.