FARAJA ELIAS SAMHENDA

Ni mtoto wa kitanzania, alizaliwa mnamo mwaka 1990 December 25 katika kijiji cha Getanuwas wilayani Hanang mkoani MANYARA.Ni mtoto wa pili katika familia ya watoto sita wa Mzee Samhenda.na mtoto wa kwanza kwa watoto wa kiume.

Amesoma shule ya msingi mwanga 2001-2007,sekondari ya imboru na baadae Endarofta iliyopo Karatu mkoani Arusha 2008-2011

Amesoma chuo cha uandishi wa habari Morogoro 2012-13 na pia amesoma shaha ya sayansi katika elimu na physikia Chuo kikuu cha MT.JOSEPH ARUSHA ila hakuweza kuhitimu kutokana na uchumi wa familia yao kutetereka.

Anapenda muziki,kusoma habari,na michezo mbalimbali.Ana mpango wa kuwa mwana siasa siku moja.Na ili kutimiza malengo hayo ameaznisha mashindano ya vijana yajulikanayo kwa jina la FARAJA CUP yanayofanyika kila mwaka wilayani hanag mkoani manayara.

Anamikili blog inaitwa SATELLITE.Pia anapenda kutoa ushauri kwa vijana wenzake ambao wana uhitaji huo.

Faili:FARAJA ELIAS SAMO
Kiongozi wa nchi ya tanzania anayesubiriwa kwa hamu

--BARNABA GIDA (majadiliano) 15:30, 5 Agosti 2015 (UTC)--BARNABA GIDA (majadiliano) 15:30, 5 Agosti 2015 (UTC)Reply