Majadiliano ya mtumiaji:CJudy24/Ushirika wa vijana na wazee.
Latest comment: mwaka 1 uliopita by Magotech in topic Maelezo yanahitajika
Maelezo yanahitajika
haririNdugu @CJudy24,
Naomba kufahamu, je makala hii ulitafasiri kutoka katika makala ya kiingereza? kama ndiyo tafadhari naomba jina la makala ya kiingereza.
Amani kwako. MagoTech Tanzania (majadiliano) 23:58, 12 Machi 2023 (UTC)