Swali? Ni kwa nini ukiitazama nyumba iliyojengwa kwa pembe nne tokea kwa mbali uonekana ikiwa katika umbo la mviringo?

Upeo wa Macho

hariri

Swali? Ni kwa nini ukiitazama nyumba iliyojengwa kwa pembe nne tokea kwa mbali uonekana ikiwa katika umbo la mviringo? Binamungu (majadiliano) 04:23, 3 Novemba 2021 (UTC)Reply

MATUMIZI YA MKAA

hariri

Je, ni kweli kwamba Watanzania wazuiliwe kutumia mkaa kwa lengo la kudhibiti uharibifu wa mazingira au Serikali kuna mahali imeshindwa kusimamia kikamilifu katika kuhifadhi na kukinda mazingira na kuja na kisingizio cha mkaa?

Je, Serikali imeandaa na kuwapa uwezo endelevu wankutumia nishata mbadala au ni pupa tu? TOA MAJIBU 197.186.6.67 19:11, 22 Julai 2022 (UTC)Reply