Huruhusiwi kuwa na akaunti mbili tofauti!!! Acha majivuno! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:09, 8 Novemba 2021 (UTC)Reply

point taken, kama ilionekana kuwa account mbili ni makosa yametokea.kuwa na account mbili sio majivuno (jua maana ya neno kabla hujatumia kwa kuandika au kutamka have a good time 196.249.99.48 17:24, 13 Novemba 2021 (UTC)Reply
habari mkuu,samahan,naomba irudishe basi account yangu uliyo ifuta naambiwa wewe ndio umefuta.ahsante Emmauel Damian Kunzugala (majadiliano) 04:18, 18 Desemba 2021 (UTC)\\Reply
Sasa umekamatika: umejiandikisha kati ya watu maarufu waliozaliwa tarehe 8 Januari... Umaarufu wako uko wapi? Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:49, 19 Desemba 2021 (UTC)Reply
sijakamtika kwa lolote, ulisoma ulichofuta ua ulifuta kwa jazba uliposema nina account 2?? anyway ni sawa. usijali mkuu 196.249.97.187 06:17, 23 Desemba 2021 (UTC)Reply