Mazingira bora kwa wanyama . hariri

Tanzania ni moja ya nchi zenye wanyama mbalimbali ambao hawapatikani sehemu nyingine hapa Duniani. Baadhi ya wanyama kama mijusi wakubwa kwa wadogo , Wanyama wenye jamii ya paka na vilevile hata wanyama wenye kuishi na binadamu . Kuna mambo ambayo yanaweza kuchangi baadhi ya wanyama kama hao kupotea hapa nchini mwetu . Na mojawapo ya mambo hayo ni haya 1. Binadamu kuingilia makazi ya wanyama kwa kufanya kilimo karibu na hifadhi . 2.Baadhi ya miradi kupita katikati ya hifadhi za wanyama 3.Teknologia mpya ambayo yanaweza kuchangi baadhi ya wanyama kupotea 4.Biashara za wanyama barani Asia 5.Miundombinu mibovu ya kuwalinda hao wanyama 6.Magonjwa mbalimbali kwa wanyama kama vile kimeta.

Je tufanye njia gani Bora ya kuwaepusha hao wanyama kupotea na kutoweka kabisa hapa Duniani.

Ni vyema kujadiliana wote tupate muafaka wetu na vizazi vijavyo .