Bwana Michael, karibu kwenye wikipedia ya Kiswahili! Nimeona ya kwamba umeanza kusahihisha makala hasa makosa yangu. Naomba endelea!! Ukitafuta ushauri jinsi gani ya kushirki uliza tu. Tuko wachache tuanpenda kusaidiana. --Kipala 11:55, 3 Desemba 2006 (UTC)Reply

Your account will be renamed hariri

08:27, 20 Machi 2015 (UTC)