Karibu kwenye wikipedia ya Kiswahili! Twamfurahia kila mmoja anayechangia hasa kama analeta kidogo pilipili hoho! Ukiwa na swali au kuhitaji ushauri - uliza tu! --Kipala 17:28, 4 Novemba 2007 (UTC)Reply

Ah, asante sana! Ninakuwa ninavumbua bado Wikipedia (ya kiswahili na ya kimataifa), na uwezo wangu wa kiswahili si mzuri sana, lakini ninatumaini kwamba nitaweza kuwasaidieni. Pilipilihoho 19:26, 11 Novemba 2007 (UTC)Reply